Wednesday, December 12, 2007

Pozi...


Mwanangu Man'dhari ya Uhuru Park ni kiboko, ilibidi nile pozi langu la kishamba hapa na kula upepo mwanana kabla ya kutimkia Mombasa na kisha Zanzibar...

1 comment:

Anonymous said...

mimi nilidhania uhuru park ya pale tanga karibu na kijiji cha miaka 21 na hostel ya usagara, kumbe sio