Tuesday, December 4, 2007

Barrick Gold Cup


Jamaa wa madini nao wamejitosa kudhamini michezo ambapo kuna mtanange utaanza karibuni na utakwenda kwa jina la Barrick Gold Cup, ...unaona bwana? Hapa ni Afisa wa Barrick Bwana Teweli akinadi zawadi kwa washindani, ..kazi kwenu warefu!

1 comment:

Anonymous said...

Ebwana mkubwa nimekusoma imetulia si kitoto kifupi ni Full Mzuka baab.Ila upande wa lugha kidogo kuna makosa ya kisarufi mzee lakini sio ishu kwa sana.I do appriciate ur work.Big up man unaweza!!!!!!!!!!!!!!!