Friday, August 31, 2007

Tembele!


Mheshimiwa Temba, kwa sasa anaheshimika kweli katika kundi la TMK, hapa akiwa kwenye moja ya shoo zao, kama kawaida akifikia lile songi la Nipe mimi, anaita demu, kuzipa nafasi ya Ray C ambaye kwa sasa yuko ziarani Ulaya, aliyeimba naye songi hilo. Sasa, ...hapa hiki kisemeo ndio mzuka au VP?

No comments: