Wednesday, August 22, 2007

Chikondi


Mshkaji wetu Jhiko Manyika ameangusha albam yakke ya saba inayochanganya ladha za muziki za kiafrika na Carribean, mwenyewe kaita AfriCarribean beat.
Hii ni kava katutumia, albam itaingia mtaani hivi karibuni, kanipa nakala, ni nzuri aisee, mcheki kwa:
+255 786 019 617

No comments: