Tuesday, August 21, 2007

mama mtoto!


Medani ya urembo mwaka huu ilipata pigo baada ya mmoja kati ya washiriki wa kimataifa ya ulimbwende Bi Witness Manwingi kupata mtoto.
Binti amesema kwamba ataendelea kuwa mdau lakini mambo ya kupanda stejini kushindana tena, ndio basiiii, ...ameshakuwa Mother House!

No comments: