Friday, August 31, 2007

Mzee wa kulialia..


Kuna watu walinitumia ujumbe kuniuliza VP Ferooz? jamaa kwa sasa anaonekana kuwa kama kiongozi wa kundi la Daz Nundaz, anawaandaa vijana, Critic na Sajo, wanakuja na albam, La Rhumba kajitoa kama mlikuwa hamjui, kamfuata Daz Baba ambaye walimfukuza kundini kwa sababu wanazozijua wenyewe...

No comments: