Friday, August 31, 2007

Banana Zorro


Banana Zorro bwana, anafaa kweli kuitwa R&B Legend. Uliza nini? Hajawahi kushuka thamani huyu jamaa, sasa hivi ana kabendi kake kanaitwa B Band bwana, we acha tu.
Hii ni juzi Arusha alikuwa anaimba na mrembo wimbo wao yeye na Hafsa Kazinja, unaitwa Presha, bila demu huimbi huo wimbo..

No comments: