Tuesday, August 28, 2007

Kingwendu Ngwendulile


Kuna mdau kaniuliza inakuwaje Ze Comedy iko mtaani Kingwendu kaishiwa? Jamaa yuko kwenye Bongofleva na yuko laivu ile mbaya, huyu hapa kajiachia na pozi linaitwa helohelooo!

2 comments:

Unknown said...

Huyu kingwendu anaweza kukuambikiza magonjwa ya macho(Nairobi red eye)

yusuph lashy said...

niaje kaka!
vipi mdau tuwekee place kwa ajili ya members basi...!