Sunday, August 19, 2007

Power Breakfast


Kuna mdau kaniomba kuwajua Masoud Ally wa Kipanya na Fina Mango, watangazaji wa Redio Clouds ambao kipindi chao kiko juu kweli hapa Bongo, kinaitwa Power Breakfast. Watoto ni watukutu kupitiliza, ..hawa hapa!
kesho wasikilize kuanzia saa 12 mpaka 3 kamili asubuhi, ...utakubali!

No comments: