Tuesday, August 21, 2007

Fake Pastors!


Blaza Eric Shigongo wa Global Publishers anataraji kuachia sinema yake ya kwanza mwezi ujao, inaitwa Fake Pastors imejumuisha waigizaji maarufu kama Kanumba ray, Johari na Miss Tanzania No 2 wa mwaka jana Jokate Mwwegelo na namba 3 ambaye ni Lissa Jensen.
Hili ndio 'jingo' lake!

No comments: