Monday, September 3, 2007

..tutafanyaje sasa?


..imebidi kuingia gharama za ziada kukarabati, ..roho inauma anyway, na Jumamosi tunapandisha bei, kudadadeki!

4 comments:

Simon Kitururu said...

Ama kweli watu ujinga tunaufanya ujanja. Hili ndio tatizo lakutojivunia vya kwetu. Watu hatueshimu tusichokimiliki binafsi.Watu washaona uwanja hauwahusu ndio maana wanathubutu kuuharibu. Tujifunze kupenda vya kwetu.

Evarist Chahali said...

Mzee vipi mbona kimya ghafla?Natembelea hapa daily lakini naona "umetususa" (just kiddin').Leta ishu mzee.

A-MOSSI said...

Masindoki wa masindoki yahee sisi watu wa tanga kama twaja kuona timu yetu ya taifa basi nchecheto twauacha kabisa segela ila nyinyi mwaingia nao uwanjani ndiyo maana mwaharibu jiwanja letu...........

Unknown said...

Zee vipi bwana, luku imekwisha imekwisha nini?. Ukiunganisha National 24 unapata voltage ya kutosha. tunakusubiri, lete shangwe.