Mwanangu, ndio nimeshuka kwenye hiki Kitu, nikaomba nile snepu moja kwanza nione kama napendeza? Toeni maoni, nataka kumiliki kitu kama hiki ifikapo 2012, Mungu ajaliapo uhai...
1 comment:
Anonymous
said...
mbona huo mwaka uliotaja mbali mungu akujaalie mwaka huu upate, halafu umekupendeza kweli
1 comment:
mbona huo mwaka uliotaja mbali mungu akujaalie mwaka huu upate, halafu umekupendeza kweli
Post a Comment